Ndani ya Mahakama ya Friji: Story na Dr. Ntapanta Kuhusu Takataka za Kielektroniki Tanzania

Press/Media: Press / Media

Description

Katika story na Dr. Ntapanta, tunaingia ndani ya dunia ya taka za kielektroniki nchini Tanzania — kuanzia Mahakama ya Friji hadi dhana nzito ya "techno-capitalism." Dr. Ntapanta anazungumzia: Tofauti kati ya e-waste na electronic discards Maisha ya waokota skrepa kama Uncle Mjomba Hatari za kiafya zinazowakumba wafanyakazi wa taka Nafasi ya wanawake na ubunifu wa kiteknolojia mitaani Maana ya "lifescaping" na muktadha wa kisiasa na kijamii 🎧 Ikiwa unavutiwa na masuala ya mazingira, ubunifu mitaani, haki ya kijamii, au unataka kuelewa uhusiano kati ya teknolojia na jamii barani Afrika — video hii ni lazima uitazame.

Subject

Discussion about my book "Gathering E-waste in Tanzania: Labor, Value, and Toxicity." The discussion focuses on informal electronic waste recycling and the e-waste problem and its future in Tanzania. 

 

Period19 Jun 2025

Media contributions

1

Media contributions

  • TitleNdani ya Mahakama ya Friji: Story na Dr. Ntapanta Kuhusu Takataka za Kielektroniki Tanzania
    Degree of recognitionInternational
    Media name/outletMambo Vipi Podcast
    Media typePodcast
    Duration/Length/Size1hr 4mins
    Country/TerritoryTanzania, United Republic of
    Date19/06/2025
    Producer/AuthorOswald "Tovuti" Mwamsondo
    URLhttps://youtu.be/HlwfEJCFq6s?feature=shared
    PersonsSamwel Moses Ntapanta